Monday, April 14, 2014

Yaya Toure ameshamaliza msimu baada ya kuumia

Blow: Yaya Toure limped off in the first half at Anfield after picking up an injury
Kocha wa Man city, Manuel Pellegrini amesema kiungo wake Yaya Toure hataweza tena kucheza msimu huu baada ya kupata majeraha wikiendi hii. Yaya alipata majeraha hayo kwenye mechi kati ya Liverpool na Man city na kumfanya atolewe kwenye dakika ya 19 kipindi cha kwanza. Kukosekana kwa Yaya kwenye mechi hii kulionekana kuwa ni sababu kubwa iliyosababisha Man city kufungwa na Liverpool na pia Man city itakuwa na kazi kubwa kuziba pengo lake kwenye mechi zilizosalia. 

No comments:

Post a Comment