Thursday, October 24, 2013

Yaya Toure akerwa na ubaguzi Moscow


Kiungo wa Man city Yaya Toure amesema kitendo cha ubaguzi wa rangi jijini Moscow kilichofanywa na mashabiki wa CSKA Moscow sio cha kuvumilika na ameiomba UEFA kuchukua hatua haraka sana ikiwemo kufungia uwanja huo kwa kipindi kirefu. Mashabiki wa klabu hiyo walifanya kitendo hicho kwenye mechi kati ya CSKA na Man city kwa kuimba nyimbo za kibaguzi na kuonesha ishara ya nyani kwa wachezaji weusi. 
Making his feelings clear: Yaya Toure tells referee Ovidiu Hategan about the abuse
Yaya na Sergio wakilalamika kwa refa juu wa ubaguzi wa mashabiki 
Upset: Toure gestures towards the fans
Yaya akionesha mshangao kwa mashabiki waliokuwa wakiimba nyimbo za kibaguzi dhidi yake
Target: Yaya Toure received racist abuse from sections of the crowd in Moscow
Yaya
Toure

Racist chants again in Moscow today.. We've all said enough. @UEFAcom, @GovernmentRF, CSKA, all eyes are on you now..

No comments:

Post a Comment