Ana akipiga forehand kurudisha kitenesi kwa Serena. Msebia huyu leo ameweza kumtoa bingwa wa dunia Serena Williams kwa jumla ya seti 4-6 6-3 6-3. Ana alianzia nyuma baada ya kupigwa seti ya kwanza 4-6, na kuweza kushinda seti mbili zilizofuatia kwa 6-3 kila mmoja. Ana ambaye anashikilia nafasi ya 16 kwenye renki za tenesi duniani atakutana na Eugenie Bouchard kwenye raundi inayofuata.
Serena akiserve kwa nguvu dhidi ya Ana
Ana Ivanovic akirudisha kitenesi kwa backhand kwenye seed ya 14. Katika mchezo huu Ana ameonesha kiwango cha juu sana, na kama ataendelea hivi hadi mwisho, ataweza kuchukua kombe hili kwa mara yake ya kwanza.
Serena akiwa ameinama baada ya mechi kumalizika akiwa haamini kilichotokea baada ya kupigwa na Ana Ivanovic kwenye michuano mikubwa ya tenesi duniani Australia Open. Kutolewa kwa Serena kwenye michuano hii ambayo ni Grand Slam ya kwanza kwa mwaka huu itakuwa ni mwanzo mchungu kwake akiwa kama mchezaji bora wa kike.
Kutolewa kwa Serena kwenye michuano hii kumepunguza ushindani kutokana na ukweli kwamba vijogoo wengine wa tenesi kawaida humuogopa sana Serena akiwa kama bingwa wa duania. Wachezaji wanaopewa nafasi ya kushinda baada ya Serena kutoka ni Sharapova, Na Li na Azarenka.
Matokeo mengine ya Australia Open ni kama ifuatavyo
Australian Open - Men's SinglesJanuary 18 | ||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
W.O. | Stanislas Wawrinka | |||||||
Vasek Pospisil | ||||||||
FT | Stephane Robert | 6 | 7 7 | 6 | ||||
Martin Klizan | 0 | 6 2 | 4 | |||||
FT | Teymuraz Gabashvili | 2 | 2 | 3 | ||||
Roger Federer | 6 | 6 | 6 | |||||
FT | Milos Raonic | 3 | 6 | 4 | 6 10 | |||
Grigor Dimitrov | 6 | 3 | 6 | 7 12 | ||||
FT | Benoit Paire | 2 | 1 | 4 | ||||
Roberto Bautista | 6 | 6 | 6 | |||||
FT | Andy Murray | 7 7 | 6 | 6 | ||||
Feliciano Lopez | 6 2 | 4 | 2 | |||||
FT | Jo-Wilfried Tsonga | 7 7 | 6 | 6 | ||||
Gilles Simon | 6 5 | 4 | 2 | |||||
FT | Donald Young | 5 | 1 | 0 | ||||
Kei Nishikori | 7 | 6 | 6 | |||||
FT | Rafael Nadal | 6 | 6 | 6 | ||||
Gael Monfils | 1 | 2 | 3 |
Australian Open - Women's SinglesJanuary 18 | ||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
FT | Alize Cornet | 1 | 6 6 | |||||
Maria Sharapova | 6 | 7 8 | ||||||
FT | Carla Suarez | 1 | 0 | |||||
Dominika Cibulkova | 6 | 6 | ||||||
FT | Zarina Diyas | 1 | 4 | |||||
Simona Halep | 6 | 6 | ||||||
FT | Jelena Jankovic | 6 | 7 | |||||
Kurumi Nara | 4 | 5 | ||||||
FT | Sloane Stephens | 7 | 6 | |||||
Elina Svitolina | 5 | 4 | ||||||
FT | Agnieszka Radwanska | 5 | 6 | 6 | ||||
Anastasia Pavlyuchenkova | 7 | 2 | 2 | |||||
FT | Garbine Muguruza | 4 | 7 | 6 | ||||
Caroline Wozniacki | 6 | 5 | 3 | |||||
FT | Yvonne Meusburger | 1 | 0 | |||||
Victoria Azarenka | 6 | 6 |
Ana vs Serena
No comments:
Post a Comment