Tuesday, February 11, 2014

Bellamy afungiwa, Yaya bado uchunguzi unaendelea

Caught in the act: All three judges will have to have voted to charge Craig Bellamy after watching secure video footage
Mshambuliaji wa Cardiff city Craig Bellamy amefungiwa kucheza mechi tatu baada ya kumpiga ngumi mchezaji wa Swansea. Wakati Bellamy akipata adhabu hii, kiungo wa Man city, Yaya Toure yeye kosa lake bado linachunguzwa baada ya kumpiga buti la maksudi mchezaji wa Norwich. Kama Yaya atashikwa na kosa hili naye atapewa adhabu inayofanana na Bellamy, jambo ambalo litaimaliza nguvu kabisa Man city kwenye safu ya kiungo ikizingatiwa kuwa Mbrazil Fernandinho pia majeruhi. 

Inconclusive: Yaya Toure escaped punishment because at least one judge thought his actions didn't deserve a suspension

No comments:

Post a Comment