
Klabu nane za barani Ulaya zinatarajia kucheza kwenye International Champions Cup nchini Marekani baada ya kombe la dunia. Klabu hizo zitakuwa ni Liverpool, AC Milan, Inter Milan, Man City, Manchester United, Olympiacos, Real Madrid na Roma. Mechi hizi zitachezwa kwenye miji tofauti nchini Marekani ikiwemo Phoenix, Denver, D.C., Charlotte, Dallas, Pittsburgh, Philadelphia, Chicago, New York/ New Jersey na miji mingine itatangazwa baadaye.
No comments:
Post a Comment