Monday, February 17, 2014

Mabingwa wa Ulaya kukutana Cardiff City

Venue of choice: Cardiff City Stadium has been chosen to host the 2014 UEFA Super Cup
Mabingwa wa Ulaya wa msimu huu 2013/14 watashuka kwenye uwanja wa Cardiff City kupambana kuwania kombe la Uefa Super Cup linalowakutanisha mabingwa wa Uefa champions na bingwa wa Europa league.  Uamuzi huu wa Uefa kuuchagua uwanja wa Cardiff kufanyika michuano hii ni fursa nzuri kwa klabu ya Cardiff city kujitangaza zaidi lakini pia ni chachu kwa klabu kuweza kujitutumua ili kuepuka kushuka daraja msimu huu, kwani hadi sasa klabu hii inashikilia nafasi ya 19. Mabingwa wa sasa wa Super Cup ni klabu ya Bayern Munich iliyochukuwa ubingwa baada ya kuwafunga Chelsea kwa penati.

No comments:

Post a Comment