Friday, March 21, 2014

Simba imebakiza mechi ngumu kumaliza ligi

Simba imebakiza mechi ngumu kumaliza ligi ikiwa bado nafasi ya nne na pointi 36. Ili iweze kushiriki michuano ya kimataifa klabu ya Simba inatakiwa ishinde mechi zote zilizosalia tena kwa magoli yakutosha huku ikiombea wapinzani wake Mbeya City, Yanga na Azam wavurunde kwenye mechi zilizobaki. Mechi hizo za Simba zilizobakia ni kama ifuatavyo; 

Simba vs Coastal - Machi 23
Simba vs Azam - Machi 30 
Kagera vs Simba - April 4 
Simba vs Ashanti.- April 13 
Simba vs Yanga - April 19

No comments:

Post a Comment