Usiku wa kuamkia leo wachezaji wa Man utd walikusanyika pamoja kumuunga mkono mchezaji mwenzao Darren Fletcher kwenye shughuli ya kuchangisha fedha. Uchangishaji fedha ulikuwa ni maalum kwa ajili ya kituo cha kujitolewa kwa watu wenye matatizo ya tumbo, ugonjwa aliokuwa nao pia Fletcher. Zifuatazo ni picha za baadhi ya wachezaji wa Man utd waliyokuwepo kwenye shughuli hiyo.
No comments:
Post a Comment