Mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon, Samuel Eto'o, akiwasili kwenye stesheni ya St Pancras jijini London tayari kuelekea darajani kufanyiwa vipimo na kusaini mkataba wa mwaka mmoja na klabu ya Chelsea. Eto'o ambaye ni mchezaji anayelipwa zaidi duniani kwa paundi mil 17 kwa mwaka, amekubali kupunguza mshahara wake na kujiunga na Chelsea. Usajili wa Eto'o ni mpango B wa kocha Jose Mourinho baada ya kumkosa Rooney. |
No comments:
Post a Comment