Thursday, September 19, 2013

Man city vs Man utd: Aguero ajifua na na Bolt

Catch me if you can: Usain Bolt puts Manchester City striker Sergio Aguero through his paces
Mshambuliaji wa Man city, Sergio Aguero akijifua na bingwa wa mbio fupi duniani Usain Bolt. Aguero na Bolt walikutana pamoja kwenye program za mdhamini wao Puma ndipo Aguero alipomuomba Bolt kumfundisha mbinu za kukimbia kwa kasi na kubana pumzi. Katika maongezi yake Aguero amesema mbinu za Bolt zitamsaidia kwenye mechi ijayo dhidi ya Man utd.  
Drop and give me 20: Bolt didn't take any prisoners on the day
Respect: Bolt, despite being a United fan, praised Aguero's abilities

No comments:

Post a Comment