Friday, September 27, 2013

Messi afikishwa mahakamani kujibu kesi ya kodi

Relaxed: Barcelona forward Lionel Messi was smiling as he arrived at court in Gava to face tax fraud charges
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi akiwasili mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili ya kukwepa kodi kutokana na mapato yake ya mwaka 2006 hadi 2009. Kesi hii ilianza kusikilizwa miezi iliyopita, leo tena imeendelea na taarifa zinasema kesi hii inatarajiwa kumalizika kwani Messi mwenyewe ameshalipa kiasi cha fedha alichokuwa anadaiwa. Messi alipohojiwa kuhusiana na jambo hili alisema ' kesi inakwenda vyema, ila ukweli mimi na baba yangu hatujui kitu kwasababu masuala yote ya pesa na kodi tumewaachia mameneja wetu wa fedha na sheria. Wao wanasema kila kitu kilikwenda vyema na mambo haya yatakwisha'. Messi ameshitakiwa kukwepa kodi isiyopungua paundi mil 3.4 kutoka kwenye matangazo ya kampuni za Banco Sabadell, Danone, Adidas, Pepsi-Cola, Proctor and Gamble na kuwait food company. 

Relaxed: Barcelona forward Lionel Messi was smiling as he arrived at court in Gava to face tax fraud charges
Star attraction: Plenty of supporters turned up to see Messi arrive at court to face tax fraud charges
Charged: Messi's father Jorge arrives at court in Gava to face charges of tax evasion
Jorge baba mzazi wa Messi akiingia mahakamani 

No comments:

Post a Comment