Monday, September 2, 2013

Valencia 2 - 3 Barcelona, Messi atupia magoli matatu

Too easy: Lionel Messi celebrates after scoring for Barcelona on his way to getting a first-half hat-trick
Mshambuliaji tegemezi wa Barcelona Lionel Messi akishangilia goli la kwanza alilofunga kati ya magoli matatu dhidi ya Valencia katika mechi ya ligi kuu nchini Hispania jana usiku. Mbali ya kufunga magoli matatu, Messi na Neymar wameanza kuonesha ushirikiano wakicheza pamoja, jambo ambalo linampa moyo kocha mpya wa klabu ya Barcelona 'Tata' ambaye alikuwa ana kazi kubwa ya kuendeleza safi ya klabu kwa kuwaunganisha wachezaji hawa. 
Unstoppable: Messi grabbing a second as he ghosted through the Valencia defence
Brazilian: Neymar takes a shot on a quiet night for the £50million signing
Barcelona's Lionel Messi  FC Barcelona's Argentinian striker Lionel Messi
Picha ya kulia, Neymar na Messi wakifurahi baada ya Messi kufunga goli akipokea pasi kutoka kwa Neymar. 

No comments:

Post a Comment