Thursday, October 17, 2013

Bale yupo fiti kuwakabili Juve na Barcelona

Back in business: Gareth Bale has returned to training after a back injury
Mshambuliaji mpya wa Real Madrid, Gareth Bale anatarajiwa kurudi tena dimbani wiki hii baada ya daktari wa timu kumpatia kibali. Bale alipatwa na majeraha kwenye paja lake la kushoto wiki mbili zilizopita, majeraha ambayo yalimfanya akose mechi kadhaa za klabu na timu yake ya taifa. Lakini kwasasa mchezaji huyu yupo fiti kurudi dimbani na ameandaliwa vya kutosha ili aweze kucheza mechi mbili muhimu za Madrid dhidi ya Juventus (Jumatano) na Barcelona (Jumamosi). 
Running man: Bale joins the rest of his Real teammates in training in Madrid
Real concern: Bale pulled out of his Madrid home debut with a thigh injury picked up in the warm-up

No comments:

Post a Comment