Thursday, October 17, 2013

Hotel watakayofikia England nchini Brazil 2014

Home: England will be based at the Royal Tulip Sao Conrado Beach Hotel in Rio de Janeiro
Hii ni hotel ya Royal Tulip, hoteli ambayo imechaguliwa na FA kufikia timu ya taifa ya England pindi itakapokuwa nchini Brazil kwenye michuano ya kombe la dunia mwaka 2014. Hoteli hii yenye nyota tano ipo kweye jiji la Rio ina gorofa 17 na vyumba 418. Hoteli hii ipo kwenye fukwe maarufu nchini Brazil za Copacabana, fukwe ambazo zinatarajiwa kuwa kivutio kikubwa cha wapenzi wa soka wataofika nchini Brazil kwenye michuano hii. Mbali ya starehe za kila aina zilizopo kwenye hoteli hii, pia kuna vifaa vya kutosha vya kufanyia mazoezi ikiwa ni pamoja na viwanja vidogo vidogo vya michezo na mazoezi. 
Bed time: The rooms at the Royal Tulip where Roy Hodgson's boys will basedPicturesque: The view from the England team hotel
Picturesque: The view from the England team hotel
Fancy a dip? The hotel has a massive swimming pool the England players can use to cool off

No comments:

Post a Comment