Friday, February 21, 2014

Baada ya kupishana maneno na Ozil, Flamini agombana na Wilshere kwenye mazoezi

Up for debate: Jack Wilshere and Mathieu Flamini exchange words Arm round the shoulder: Bacary Sagna with Wilshere in training
Picha hizi zinawaonesha Flamini na Wilshere wakibishana kwa hasira kuhusu jambo ambalo halikujulikana mara moja. Pembeni ni Sagna akijaribu kumvuta Wilshere ili mzozo baina yao usifikie hatua ya kupigana kwenye kiwanja cha mazoezi leo asubuhi. Kabla ya kugombana na Wilshere, Flamini pia alipishana maneno na Ozil ndani ya uwanja kwenye mechi kati ya Arsenal na Bayern Munich. Baada ya tukio hili uwanjani washabiki wengi walijua Ozil ndiye alikuwa na hasira kutokana na stresi za kukosa penati, lakini hatua ya Flamini kugombana na Wilshere imeonekana kuwa Flamini ndiye mtata na mtu mwenye hasira. Vitendo hivi vya kinidhamu kwa wachezaji vitamfanya kocha Wenger azidi kuchanganyikiwa kwani hadi sasa bado anashughulikia utovu wa nidhamu wa Olivier Giroud ambaye wiki iliyopita alitoka na mwanamke mwingine. 

Discussion: Wilshere stands with his arms open as Sagna looks to ease the apparent training ground tension
Wilshere akiwa na sura ya hasira huku akimwangalia Flamini (hayupo pichani) 

Feeling blue, Jack? Something or someone appeared to rile the Arsenal midfielder at Arsenal's base on Friday
Wilshere akiondoka mazoezini baada ya kupishana maneno na Flamini 

Flashpoint: Mesut Ozil was sternly rebuked by teammate Mathieu Flamini during the second half of Arsenal's 2-0 defeat to Bayern Munich in the Champions League on Wednesday night
Flamini akibishana na Ozil kwenye mechi dhidi ya Munich. 

No comments:

Post a Comment