Monday, February 24, 2014

Drogba kurudi Chelsea mwishoni mwa msimu

Brothers in arms: And Jose Mourinho has been singing Drogba's praises ahead of Chelsea v Galatasaray
Taarifa za mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba kurudi darajini zimeendelea kusambaa na kuna uwezekano mkubwa kuwa atarudi. Sportsmail, limesema, mmiliki wa Chelsea, Roman Abramovich pamoja na kocha Jose Mourinho wameshaonesha nia ya kumrudisha mchezaji huyu mwishoni mwa msimu huu. Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Chelsea zimesema, Abramovich ameshaongea na Mourinho na wamekubaliana kufanya juu chini mchezaji huyu arudi Chelsea. Drogba kwasasa anacheza klabu ya Galatasaray nchini Uturuki na wiki hii Chelsea inatarajia kucheza na klabu hiyo ya Uturuki kwenye michuano ya Uefa Champions. 

Final flourish: The Ivory Coast striker's last touch of the ball for Chelsea was the penalty against Bayern Munich
Penati iliyowapa Chelsea kombe la Ulaya

Precision: Drogba sent keeper Manuel Neuer the wrong way and stroked his spot-kick to the bottom left corner

No comments:

Post a Comment