Tuesday, February 25, 2014

Sergio Aguero aanza mazoezi ya nguvu

Back in action: Manchester City striker Sergio Aguero (second from left) controls the ball in training on Tuesday
Mshambuliaji wa Man city, Sergio Aguero akiwa mazoezini pamoja na wachezaji wenzake baada ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani wiki nne akisumbuliwa na misuli ya paja. Aguero ameshakosa mechi nyingi muhimu za Man city zikiwemo mechi dhidi ya Chelsea na Barcelona, jambo ambalo limeifanya klabu yake kupata matokeo mabaya. Kurudi kwa Aguero ni maandalizi ya klabu kwa mechi ngumu zilizopo ndani ya wiki hii na inayokuja dhidi ya Sunderland kwenye fainali ya Capital one cup na mechi ya marudiano dhidi ya Barcelona. 

Taking a breather: Aguero (right) observes a drill with team-mates Jack Rodwell (left) and David Silva (middle)
On the mend: Aguero does some leg exercises in the gym at Manchester City's Carrington Training Centre

No comments:

Post a Comment