Wachezaji wa Man utd walijiachia kwenye kumbi za starehe usiku wa jumatatu baada ya mechi kati ya Man utd na Aston Villa. Ushindi iliyoupata Man utd kwenye mechi hiyo wa magoli matatu kwa bila umeifanya United itwae ubingwa wa ligi kuu nchini England mara ya 20 kitu ambacho kiliwafanya wachezaji hao wajiachie usiku kucha kwenye kumbi za starehe jijini Manchester. Picha mbalimbali zinaaonesha jinsi wachezaji hao wa Man utd walivyosherekea ubingwa kuanzia uwanjani hadi kwenye kumbi za starehe.
|
Rio akiwaongoza wenzake kufungua shampeni ndani ya chumba cha kubadilishia nguo old traford |
|
RVP akionesha namba ya jezi yake inayolingana na idadi ya vikombe United ilivyoshinda hadi sasa |
|
De Gea akiwa na mshikaji wake sambamba na mpenzi wake wakielekea kwenye kumbi ya starehe |
|
Wachezaji wa Man utd wakiwa bar kusherekea ushindi wao |
|
Jones na Smalling wakifanya utani na watu waliokutana nao bar |
|
Giggis akipanda teksi saa 12 asubuhi baada ya kushereheka na wenzake |
No comments:
Post a Comment