Wednesday, May 29, 2013

Abbiati (Ac Milan) kachukua tuzo ya best save Uefa

Video hii inaonesha best save katika michuano ya Uefa champions msimu huu aliyoifanya golikipa wa Ac Milan Abbiati baada ya kuokoa shuti kali la kiungo wa Zenit St. Peterburg. Wakati mpira huo umepigwa wachezaji wa Zenit walijua ni goli lakini walijikuta wanashika vichwa pasipo kuamini jinsi Abbiati alivyookoa mpira huo.

No comments:

Post a Comment