Klabu ya Chelsea imeifunga Basle/Basel magoli 3-1 na imefanikiwa kuingia kwenye fainali za Europa League kwa jumla ya magoli 5-2 hivyo itakutana na Benfica ya Ureno kwenye fainali hizo.
Chelsea: Cech, Azpilicueta, Ivanovic, Cahill, Bertrand, Lampard, Luiz (Ake 81), Ramires (Oscar 66), Hazard (Mata 75), Moses, Torres.
Kadi ya njano: Azpilicueta.
Magoli ya Chelsea: Torres 50, Moses 52, Luiz 59.
Basle: Sommer, Steinhofer, Schar, Sauro, Voser, El-Nenny, Frei (Diaz 62), Die, Salah, Streller (Zoua 75), Stocker (David Degen 62).
Kadi ya njano: Geoffroy, Steinhofer, Die.
Goli la Basle: Salah 45.
Refa: Jonas Eriksson (Sweden).
Idadi ya watu uwanjani: 39,403.
Luiz akifunga goli la tatu ikiwa ni moja ya magoli mazuri kupata kutokea, angalia video highlights kupitia page ya video highlights juu kabisa ya blog kuona goli hili na mengine |
Mashabiki wa Basel walishakingilia kwa mbwembwe nyingi baada ya kuongoza kwa goli moja katika kipindi cha kwanza |
Mashabiki wa Chelsea wameonesha mapenzi yao kwa Jose, Lampard na Terry |
Goli la kusawazisha lilifungwa na Torres ikiwa ni goli lake la tano katika mechi nane alizocheza |
Mashabiki wa Chelsea wakiwa wamevaa maski usoni wakimuiga Torres, aina hii imeanza kuwa maarufu kwa mashabiki wa Chelsea na inaweza kuwa chachu kwa Torres kujituma zaidi |
No comments:
Post a Comment