Sunday, May 5, 2013

Man utd 0 - 1 Chelsea, mfungaji ni Mata dk 87

Manchester United (4-2-3-1)
Lindegaard; Rafael, Evans, Vidic, Evra; Jones, Anderson, Cleverley, Valencia, Giggs; Van Persie
Subs: De Gea, Ferdinand, Buttner, Scholes, Kagawa, Hernandez, Rooney
Chelsea (4-2-3-1):
Cech; Azpilicueta, Ivanovic, David Luiz, Cole; Ramires, Lampard (c); Oscar, Mata, Moses; Ba.
Subs: Turnbull, Ferreira, Cahill, Terry, Ake, Benayoun, Torres.


Magic man: Juan Mata popped up at the death to secure Chelsea a vital win
Juan Mata akishangilia baada ya kuipatia Chelsea goli pekee la ushindi dhidi ya Man utd katika mchezo wa ligi kuu ya England. Kwa ushindi huu Chelsea imekwea hadi nafasi ya tatu na pointi  68 na kujiweka katika nafasi nzuri zaidi ya kushiriki UEFA champions msimu ujao 
BANG ... Juan Mata fires his late winner
Mata akipiga shuti kuandika goli la kwanza na la pekee lililogonga mwamba na kuingia wavuni. Kuangalia goli hili na matukio mengine katika mchezo huu unaweza ku-click kitufe cha video highlights juu ya blog hii 

No comments:

Post a Comment