Wachezaji 24 wa klabu ya Arsenal pamoja na viongozi leo wamepaa kuelekea Asia kwenye mechi za kirafiki kujiandaa na msimu ujao wa ligi pamoja na kuimarisha ushirikiano na mashabiki wake waliopo Asia. Wachezaji walioachwa kwenye kikosi cha Arsenal kwa sababu mbalimbali ni Nicklas Bendtner, Marouane Chamakh, Gervinho, Andre Santos, Santi Cazorla, Ignacio Monreal na Thomas Vermaelen. Arsenal itacheza mechi ya kwanza kwenye ziara hii na timu ya taifa ya Indonesia tareje 14 mwezi huu.
No comments:
Post a Comment