Tuesday, May 14, 2013

Simba waendelea na mazoezi Zanzibar

Klabu ya Simba leo jioni imeendelea na mazoezi ya nguvu kwenye uwanja wa Mao Dze Tung uliopo Unguja mjini kisiwani Zanzibar. Mazoezi hayo ya Simba yalikuwa chini ya kocha mkuu Patrick Liewig wakijiandaa na mchezo wao dhidi ya wapinzani wa jadi Yanga katika mechi itakayofanyika jumamosi ijayo kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam. Zifuatazo ni baadhi ya picha zikiwaonesha vijana wa msimbazi wakiwa mazoezini jioni ya leo













No comments:

Post a Comment