![]() |
Timu ya taifa ya Italia ikiwa mazoezini nchini Brazil kujiandaa na michuano ya confederation cup inayotarajiwa kuanza jumamosi ya wiki hii tarehe 15 Juni, ambapo Italia itaanza kwa kucheza na Mexico siku ya jumapili. Italia ipo kundi moja na Brazil, Mexico na Japan. |




No comments:
Post a Comment