Victor Wanyama raia wa Kenya amefanikisha uhamisho wake kutoka klabu ya Celtic na kuhamia klabu ya Southampton kwa dau la paundi mil 12 na kufunga mkataba wa miaka minne. Victor amekuwa ni Mkenya wa kwanza kucheza kwenye ligi kuu ya Uingereza na imekuwa ni sifa kubwa kwa taifa la Kenya. |
Victor (22) akiwa na uzi wa Southampton mara baada ya kusaini mkataba |
No comments:
Post a Comment