Francis Cheka (Mtanzania) akivishwa mkanda wa ubingwa wa duania WBU na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Dkt. Mukangala baada ya kumshinda mpizani wake Phil kutoka Marekani kwa pointi katika mpambano uliofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es salaam. |
Cheka akimtupia konde zito Phil |
Phil akiwa chini baada ya kupewa konde la nguvu na cheka |
No comments:
Post a Comment