Beki wa Chelsea John Terry amechezewa rafu mbaya na Campagnaro wa Inter Milan katika mechi ya kirafiki iliyofanyika leo asubuhi ambapo Chelsea walishinda magoli 2-0. Magoli ya Chelsea yalifungwa na Oscar na Hazard. Mbali ya kufanyiwa rafu mbaya John Terry aliendelea kucheza hadi mwisho wa mchezo. Angali video ya rafu hapo chini
![]() |
Vurugu baada ya Terry kufanyiwa rafu |
![]() |
Hazard akifunga goli la pili kwa penati |
Vikosi vya timu zote mbili
Chelsea: Cech (Schwarzer 45); Ivanovic (Azpilicueta 66), Cahill (David Luiz 59), Terry (c), Cole (Bertrand 72); Ramires, Van Ginkel (Mikel 66); Moses (Essien 45), Oscar (Mata 45), Hazard (Torres 72); Lukaku (Ba 59).
Goals: Oscar 13, Hazard 29.
Inter: Handanovic, Campagnaro, Ranocchia, JuanJesus, Nagatomo, Guarin, Cambiasso, Alvarez, Pereira, Palacio, Icardi.
Sent off: Campagnaro 58.
No comments:
Post a Comment