Mourinho akimpa Guardiola mkono huku kila mtu akiangalia pembeni, hii ilikuwa kwenye mechi kati ya Real Madrid na Barcelona. Wawili hawa walishagombana kwa maneno wakati wakiwa Hispania, na ilifikia muda hawapeani mikono. Kwenye mechi ya leo washabiki wa soka wanangojea kuona kama watapeana mikono.
Takwimu hizi zinaonesha historia ya Mourinho vs Guardiola. Walishakutana kwenye mechi 15, Mourinho alishinda mechi 3, Guardiola mechi 7 na droo mechi 5. Leo tena historia itaandikwa baina ya wawili hawa katika mechi ya fainali Uefa super cup kati ya Chelsea na Bayern Munich.
|
Friday, August 30, 2013
Mourinho vs Guardiola fainali Uefa super cup
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment