Saturday, September 14, 2013

Tottenham imesajili wachezaji saba kwa £108m

image
Hawa ni wachezaji saba waliosajiliwa na Tottenham msimu huu kwa jumla ya paundi mil 108. Wachezaji hawa ni Roberto Soldado, Erik Lamela, Christian Eriksen, Paulinho, Chadli, Capoue na Vlad. Usajili huu unaifanya klabu ya Tottenham kuwa klabu iliyofanya usajili mkubwa kuliko zote kwenye ligi ya uingereza. Hadi sasa baadhi ya wachezaji hawa wameshaonesha uwezo mkubwa wa kucheza soka, jambo ambalo linaifanya Tottenham kuendelea kuwa kwenye ushindani wa top four ya ligi kuu nchini Uingereza.  

No comments:

Post a Comment