Mshambuliaji tegemezi wa Barcelona Lionel Messi akishangilia goli la kwanza alilofunga kati ya magoli matatu dhidi ya Valencia katika mechi ya ligi kuu nchini Hispania jana usiku. Mbali ya kufunga magoli matatu, Messi na Neymar wameanza kuonesha ushirikiano wakicheza pamoja, jambo ambalo linampa moyo kocha mpya wa klabu ya Barcelona 'Tata' ambaye alikuwa ana kazi kubwa ya kuendeleza safi ya klabu kwa kuwaunganisha wachezaji hawa. |
Picha ya kulia, Neymar na Messi wakifurahi baada ya Messi kufunga goli akipokea pasi kutoka kwa Neymar.
No comments:
Post a Comment