![]() |
Klabu ya Al Ahly ya Misri imeshinda taji la klabu bingwa Afrika baada ya charaza Orlando Pirates ya Afrika Kusini kwa magoli 2-0 katika mchezo wa marudiano wa mechi ya mwisho mjini Cairo. Ahly, wanyakua kombe hili kwa mara ya saba baada ya kuibuka na ushindi wa jumla ya magoli 3-1. |
No comments:
Post a Comment