Michael Conroy ndiye mpiga picha aliyeweza kupiga picha bora katika mashindano ya NCAA. Conroy aliweza kuinasa picha hiyo baada ya kumpiga Rick Pitino kocha mkuu wa Louisville wakati
akiwaongoza wachezaji wa timu yake walipokuwa wakicheza mchezo wa fainali dhidi
ya Duke kwenye mashindano ya NCAA basketball vyuoni. Katika mchezo huo timu ya
Louisville ilishinda pointi 85-63. Picha hiyo ni kama inavyoonekana hapo chini;
Rick Pitino: Picha bora ya NCAA |
No comments:
Post a Comment