Friday, November 15, 2013

Ronaldo au Ibra, usikose kuwacheki leo usiku

Prediction: Larsson believes Sweden have the advantage because of the opening away tie, but who knows what will happen when two giants collide (below)
Leo kuna mechi nne za kuwania kufuzu kombe la dunia kwa timu za Ulaya ili kukamilisha idadi ya timu 13. Lakini kati ya mechi zote, mechi yenye mvuto kuliko zote ni kati ya Portugal vs Sweden. Mechi hii ina mvuto zaidi ya zingine kutokana na umaarufu wa wachezaji wawili, Cristiano Ronaldo na Zlatan Ibrahimovic. Umahiri wa wachezaji hawa wawili umefanya mechi hii kungojea kwa hamu kubwa na mashabiki wengi wa soka duniani, lengo kuu ni kujua nani kati yao atakwenda Brazil na nani atabakia nyumbani. Mechi ya leo inachezwa nchini Ureno, ambapo Ronaldo itabidi acheze kwa nguvu zote kuwasaidia wenzake kushinda mechi ya leo ili Ureno iweze kujiweka kwenye mazingira mazuri kabla ya mechi ya marudiano nchini Sweden wiki ijayo. 

Struggle: With Lionel Messi's injury woes, is there a Ballon D'or chance for Sweden's Zlatan Ibrahimovic (left) and Cristiano Ronaldo (right)? We could find out tomorrow Struggle: With Lionel Messi's injury woes, is there a Ballon D'or chance for Sweden's Zlatan Ibrahimovic (left) and Cristiano Ronaldo (right)? We could find out tomorrow
And then, there's Zlatan: Larsson believes his fellow Swede is the best in the world - in terms of strikers

Mechi za kombe la dunia 

Iceland - Croatia (saa nne usiku) 
Greece - Romania (saa nne dk 45 usiku) 
Portugal - Sweden (saa nne dk 45 usiku) 
Ukraine - France (saa nne dk 45 usiku) 

Mechi za kirafiki

21:00 Denmark - Norway
21:30 Swaziland - South Africa
22:00 Turkey - N.Ireland
22:45 Ireland - Latvia
22:45 Italy - Germany (saa nne dk 45 usiku) 
22:45 Poland - Slovakia
23:00 England - Chile (saa tano usiku) 
23:05 Scotland  -  USA

No comments:

Post a Comment