

Usajili dakika za mwisho
Usajili uliyofanyika siku ya mwisho

Mshambuliaji wa Man utd, Macheda atua Birmingham City kwa mkopo

Huyu ni Kim Kallstrom aliyejiunga na Arsenal kwa mkopo akitokea Spartak Moscow, anacheza nafasi ya kiungo. Atakuwa ni mbadala wa Ramsey ambaye ni majeruhi.

Klabu ya Dnipro imegoma dakika za mwisho kumruhusu Konoplyanka kujiunga na Liverpool.
![Spurs target Dimitar Berbatov arrives in Monaco ahead of Deadline Day move from Fulham [BBC] West Ham v Fulham Dimitar Berbatov 2821317 Spurs target Dimitar Berbatov arrives in Monaco ahead of Deadline Day move from Fulham [BBC]](http://images.planetf1.com/12/09/800x600/West-Ham-v-Fulham-Dimitar-Berbatov_2821317.jpg)
Dimitar Berbatov ameshatua mjini Monaco kujiunga na klabu hiyo ya Ufaransa akitokea Fulham.

Beki wa Etienne, Kurt Zouma amesajiliwa na klabu ya Chelsea kwa paundi mil 12.5

Emmanuel Frimpong wa Arsenal atua Barnsley kwa cash.
Salah atambulishwa rasmi na klabu ya Chelsea baada ya kusajiliwa kwa paundi mil 11 kutoka Basel

Fabio kutoka Man utd atambulishwa rasmi Cardiff city ambapo atacheza kwa mkopo hadi mwisho wa msimu.

Zaha kutoka Man utd atambulishwa rasmi na Cardiff city akiwa ni mchezaj wa mkopo hadi mwisho wa msimu.
Usajili uliyofanyika siku ya mwisho
Ryan Tunnicliffe: Manchester United to Fulham (undisclosed)
Larnell Cole: Manchester United to Fulham (undisclosed)
Joe Ledley: Celtic to Crystal Palace (undisclosed)
Thomas Ince: Blackpool to Crystal Palace (loan)
Thievy Bifouma: Espanyol to West Brom (loan)
John Heitinga: Everton to Fulham (free)
Philippe Senderos: Fulham to Valencia
Razvan Rat: Released by West Ham
Marvin Emnes: Middlesbrough to Swansea (loan)
Gael Kakuta: Chelsea to Lazio (loan)
Dimitar Berbatov: Fulham to Monaco
Scott Dann: Blackburn to Crystal Palace (undisclosed)
Kim Kallstrom: Spartak Moscow to Arsenal (loan)
Dani Osvaldo: Southampton to Juventus (loan)
Liam Bridcutt: Brighton to Sunderland (undisclosed)
Fabio: Manchester United to Cardiff City (undisclosed)
Jay Fulton: Falkirk to Swansea (undisclosed)
Wayne Hennessey: Wolves to Crystal Palace (undisclosed)
Lewis Holtby: Tottenham to Fulham (loan)
Jindrich Stanek: Sparta Prague to Everton (undisclosed)
Wilfried Zaha: Manchester United to Cardiff City (loan)
Kurt Zouma: Saint-Etienne to Chelsea (undisclosed)
Jason Puncheon: Southampton to Crystal Palace (undisclosed)
Kostas Mitroglou: Olympiakos to Fulham (undisclosed)
Pablo Armero: Napoli to West Ham (loan)
Jose Campana: Crystal Palace to FC Nurnberg (loan)
CHAMPIONSHIP
Lee Tomlin: Peterborough to Middlesbrough
Modibo Maiga: West Ham to QPR (loan)
Park Chu-Young: Arsenal to Watford (loan)
Danny Graham: Sunderland to Middlesbrough (loan)
Will Keane: Manchester United to QPR (loan)
Jack Hobbs: Hull City to Nottingham Forest
Sam Johnstone: Manchester United to Doncaster (loan)
Jimmy Spencer: Released by Huddersfield
Ed Upson: Yeovil to Millwall (undisclosed)
Tom Lawrence: Manchester United to Yeovil (loan)
Martin Woods: Unattached to Barnsley (free)
Yannick Bastos: FC Differdange to Bolton (undisclosed)
Craig Conway: Cardiff to Blackburn (undisclosed)
Guilherme Dellatorre: Desportivo to QPR (loan)
Emmanuel Frimpong: Arsenal to Barnsley (undisclosed)
Faris Haroun: Middlesbrough to Blackpool (free)
Aaron Hughes: Fulham to QPR (Free)
Andy Keogh: Millwall to Blackpool (loan)
Yann Kermorgant: Charlton to Bournemouth
Adel Taarabt: QPR to AC Milan (loan)
David Rodriguez: Celta Vigo to Brighton (free)
Ben Whitfield: Bournemouth (undisclosed)
Federico Macheda: Manchester United to Birmingham (loan)
Tom Thorpe: Manchester United to Birmingham (loan)
Tyler Blackett: Manchester United to Birmingham (loan)
No comments:
Post a Comment