Stanislas Wawrinka (kushoto) akiwa ameshikilia kombe lake la kwanza kushinda kwenye michuano ya Australia open baada ya kupiga Rafel Nadal (Kulia) kwa seti 6-3 6-2 3-6 6-3
Kwa upande wa wanawake Li Na pia ameweza kushinda kombe hili kwa mara ya kwanza baada ya kumpiga Dominika Cibulkova kwa seti 7-6 (7-3) 6-0.
No comments:
Post a Comment