
Moyes akiwa ameinama baada ya goli la kwanza la Fulham kufungwa

Sura ya Alex Ferguson ilipokuwa 2-1 na ilipokuwa 2-2

Moyes akiangalia Fulham wakisawazisha goli dakika za mwisho



Mata akiwa ameshika kichwa baada ya Fulham kusawazisha

Sir Alex akiwa amesimama baada ya mchezo kuisha

Kipa wa Man utd Dea Gea (kushoto) akiwa amelalia mlingoti baada ya Fulham kusawazisha, huku Rooney akiongea na refa kuhusu muda uliyosalia

Wachezaji wa Man utd wakianzisha mpira kwa unyonge baada ya Fulham kusawazisha

Moyes akitoka nje ya uwanja baada ya mechi kuisha

Aliyekuwa msaidizi wa Ferguson, Rene Meulensteen ambaye ni kocha wa Fulham kwasasa akipiga makofi kwa washabiki baada ya mechi kuisha.
No comments:
Post a Comment