Utata uliyokuwepo kuhusu kiwango cha Messi umekwisha. Messi alikuwa kwenye kipindi kigumu tokea arudi kutoka kwenye matibabu, baada ya watu kuanza kusema kiwango chake kimeshuka. Lakini utata huo ulikufa siku ya jumapili usiku (jana) baada ya Messi kucheza mchezo safi na kufunga magoli mawili ya mbali katika mchezo ambao Barca ilishinda goli 4-1 dhidi ya Sevilla. Mcheki kwenye video hii
No comments:
Post a Comment