Monday, February 17, 2014

Man city wapo tayari kuwakabili Barcelona, Fernandinho ndani ya nyumba kuzima mashambulizi

Injury boost: Brazilian midfielder Fernandinho trained with his team-mates on the Etihad pitch
Kiungo mkabaji wa Man city Fernandinho anatarajiwa kucheza leo dhidi ya Barcelona baada ya madaktari kusema yupo fiti. Mchezaji huyu ameonekana akifanya mazoezi na wenzake kujiandaa na mechi hiyo dhidi ya Barcelona kwenye hatua ya 16 Uefa champions. Lakini taarifa za madaktari zimesema kuwa mshambuliaji wa kutegemewa wa Man city Sergio Aguero hataweza kucheza kwenye mechi hii kwasababu bado hajapona vyema ila anaweza kurudi dimbani wikiendi hii. 

Put through their paces: Garcia, Negredo, Demichelis and Kolarov (left-right) look ahead to the clash
Silky skills: Vincent Kompany tries a flick as City practice on the Eithad turf ahead of Wednesday's clash
Talking tactics: Manuel Pellegrini runs through his plans with his City charges as they prepare for the game
All smiles: Yaya Youre (right) shares a joke with Samir Nasri as they step out on to the pitch to train
Nasri na Yaya ndiyo tegemezi la Man city kutengeneza mashambulizi. Bila shaka Yaya na Nasri wakicheza kwenye kiwango chao basi Barca watakuwa kwenye wakati mgumu

Safe hands: Joe Hart goes to ground after the ball as he prepares for one of the toughest test in his career
Jump for joy: Samir Nasri is back in action for Manchester City after a long injury lay-offSafe hands? But is Alvaro negredo pushing for a new role in the Manchester City team?
Barcelona wanamjua vyema Alvaro Negredo kwani amecheza mechi za kutosha dhidi yao na pia ni mchezaji mwenzao kwenye timu ya taifa ya Hispania. Anatarajiwa kuanza kuongoza mashambulizi akichukua nafasi ya Aguero ambaye ni majeruhi. 

No comments:

Post a Comment