
Toure na Eto'o wakiwa kwenye maongezi wakati wa mapumziko Man city vs Chelsea. Kuwa wote Waafrika ndiyo sababu kubwa ya wachezaji hawa kupiga story wakati wa mapumziko. Hali hii ni kunaonesha umoja wa Waafrika pindi wanapokuwa ughaibuni.

Eto'o na Toure wakibadilishana jezi wakati wa mapumziko



Eto'o akimfariji Toure baada ya mechi kuisha huku Chelsea wakitoka na ushindi wa goli 1-0.
Bofya kucheki video ya matukio yote ndani ya tunnel - Man city vs Chelsea
Ndani ya video hii kuna; Eto'o na Toure wakibadilisha jezi na kuongea, manahodha wa timu kukutana kwenye chumba na waamuzi, makocha wakihojiwa, majina ya wachezaji waliyocheza kutangazwa, wachezaji wakipeana moyo, wachezaji walivyoingia na kutoka n.k
No comments:
Post a Comment