
Rooney (kati), Chairman Ed Woodward (kushoto) na kocha David Moyes (Kulia) wakati wa kusaini mkataba wa miaka minne hadi 2019. Rooney atalipwa paundi laki 3 kwa wiki ikiwa kwenye mchanganua ufuatao; £15,600,000 a year, £300,000 a week, £43,000 a day, £1,800 an hour,£30 a minute, 50p a second. Taarifa hizi za kusaini mkataba mpya zimemmaliza nguvu kabisa kocha wa Chelsea Jose Mourinho aliyekuwa akimuhitaji sana mchezaji huyu.


No comments:
Post a Comment