Man Utd 4 - 0 Norwich
Man Utd: De Gea 6, Jones 6, Ferdinand 7, Vidic 7, Evra 6, Valencia 6.5, Carrick 6, Cleverley 5 (Hernandez 71, 6), Kagawa 5 (Young 65, 6), Rooney 8, Welbeck 7 (Mata 60, 7).
Subs not used: Smalling, Lindegaard, Nani, Fletcher.
Booked: Evra.
Goals: Rooney (pen) 41, 48, Mata 63, 73.
Norwich: Ruddy 7, Whittaker 6, Martin 5.5, Turner 6, Olsson 5.5, Snodgrass 6, Howson 5.5, Johnson 6, Redmond 6 (Hooper 69, 5), Fer 7 (Tettey 80, 5), Van Wolfswinkel 5 (Elmander 57, 5).
Subs not used: Bunn, Gutierrez, Ryan Bennett, Murphy.
Booked: Howson.
Attendance: 75,208.
Ref: Lee Probert (Wiltshire).
Giggs akiingia uwanjani Old Trafford kwa mara ya kwanza akiwa kama kocha wa Man utd. Mwanzo wa Giggs umekuwa mzuri baada ya United kushinda goli 4- 0 dhidi ya Norwich. Mashabiki wengi wa United wameonekana kumkubali Giggs kutokana na kiwango kizuri kilichooneshwa na timu tofauti na kipindi ambacho Moyes alikuwa akiiongoza. Kutokana na ushindi wa leo baadhi ya washabiki wa United wamesema Giggs anatosha kuifundisha United wala hakuna haja ya kutafuta kocha mwingine. Giggs akiongea baada ya mechi aliwapongeza wachezaji na pia amekiri kuwa hakuweza kulala akifikiria first eleven yake itakuwaje. Giggs ataendelea kuiongoza United kwa mechi tatu zilizobakia hadi ligi itakapokwisha kabla ya kocha mpya kuanza kazi.
No comments:
Post a Comment