
Raheem Sterling akiwa na rafiki zake na picha ya chini akiwa na dada zake



Arsene Wenger, Fabio Cannavaro, Christian Vieri na Juan Sebastian Veron wakiwa nchini Brazil kwenye kombe la dunia.



Nasri, mpenzi wake pamoja na Chamakh wakiwa Las Vegas

Campbell kinda wa Arsenal akiwa ameshikilia jezi ya Santos

Steven Gerrard na mkewe wakiwa Ibiza



Rooney na mkewe wakiwa Las Vegas



JT akiwa kwenye gofu

Messi akiwa na jezi ya Corinthians moja ya klabu kubwa nchini Brazil. Hii ni njia ya kuwashawishi mashabiki wa klabu ya Corinthians kuishangilia Argentina.

David Silva akiwa Ibiza mapumzikoni
No comments:
Post a Comment