Friday, April 12, 2013

UEFA champions nusu fainali

Bayern Munich vs Barcelona 

Dortmund vs Real Madrid 


Mechi hizi zitafanyika 23/24 April na 30 April/ 1 May, wakati fainali itakuwa (Dortmund vs Real Madrid) VS (Bayern Munich vs Barcelona). 

Wakati kwa upande wa Europa League nusu fainali itakuwa 

Basel vs Chelsea 

Fenerbahce vs Benfica 

No comments:

Post a Comment