Monday, May 27, 2013

Benitez kocha mpya wa Napoli

Deal: Rafa Benitez shaking hands with Napoli president Aurelio de Laurentiis
Benitez akipeana mkono na raisi wa Napoli, Aurelio de Laurentiis kama ishara ya kumkaribisha ndani ya klabu hiyo baada ya kusaini mkataba wa kuifundisha Napoli ya Italia kwa kipindi cha miaka miwili. Kabla ya kujiunga na Napoli Benitez alikuwa akiifundisha Chelsea kwa muda baada ya Di Matteo kufukuzwa katika ya msimu mwezi Novemba mwaka jana. 

No comments:

Post a Comment