Monday, October 7, 2013

Mashabiki wa Man utd bado hawajamkubali Fellaini

Waiting game: Marouane Fellaini will see a specialist in manchester before flying to Belgium to be assessed by a national team doctor
Washabiki wengi Man utd wameonesha kufurahishwa na taarifa zilizotolewa na klabu kuwa Marouane Fellaini atakosa baadhi ya mechi kutokana na majeraha. Taarifa hizi ziliwekwa kwenye akaunti ya Facebook ya klabu hiyo na mashabiki wengi wameonekana kufurahishwa kukosekana kwa mchezaji huyu kwa kile wanachokisema hawajaona umuhimu wake ni bora akae kando awapishe wengine. Dakika 35 tokea taarifa hizi zilipowekwa kwenye facebook, jumla ya watu 10,000 wali-like status hii ya kuugua kwa Fellaini. Huu ni ukweli kwamba washabiki wengi wa Man utd bado hawajamkubali Fellaini. Chini ni baadhi ya maoni ya washabiki waliyoandika kupitia akaunti ya Facebook ya Man utd 

RVEuS1w Manchester United Facebook fans rejoice to the news that Marouane Fellaini is injured

No comments:

Post a Comment