Mrembo akiwa ameshikilia mpira aina ya Brazuca utakaotumika kwenye kombe la dunia nchini Brazil mwakani. Mpira huu umeitwa jina la Brazuca ili kuiwakilisha Brazil ikiwa kama ni nchi mwenyeji, maana ya Brazuca ni "Mbrazili" yaani ni mtu mwenye asili ya Brazil. Pia rangi za mpira huu zimewakilisha rangi mbalimbali za asili ya Brazil.
Mipira iliyowahi kutumika kwenye kombe la dunia
Vipimo vya BRAZUCA utakatumia mwaka 2014
- Weighs 437grams
- Circumference 69cm
- Rebound 141cm
- Loss of pressure 7%
- Water absorption 0.2%
- Altitude 0-1600m
- Tested over 2.5 years
- 600 players involved
- 287 players interviewed (30% non-adidas players)
- Six-panel shape
- Patched carcass
- Butyl bladder
- PU based foam material
- 2D thermal bonding
- All-over regular texture
No comments:
Post a Comment