Monday, October 7, 2013

Vettel moto ule ule, ashinda Korea

Vettel
Timu ya magari ya Red Bull pamoja na dereva wake Sebastian Vettel wametoa mfano unaofaa wa kuigwa katika mchezo wa mbio za magari, baada ya  dereva huyo kuonesha ustaadi na ubora wa kukimbiza gari kwenye mbio za Korea. Huu ulikuwa ni ushindi wake wa nne mfululizo na wa nane msimu huu na mara 34 katika kipindi chote alichowahi kushiriki. 

As of: Korean Grand Prix+/-PointsBehindWins
1
 Sebastian Vettel - Red Bull
272
8
2
 Fernando Alonso - Ferrari
195
77
2
3
 Kimi Raikkonen - Lotus
+1
167
105
1
4
 Lewis Hamilton - Mercedes
-1
161
111
1
5
 Mark Webber - Red Bull
130
142
0

No comments:

Post a Comment