Tuesday, January 14, 2014

Gerrard ampigia kura Ronaldo, Kati ya Messi na Ronaldo hakuna aliyempigia kura mwenzake

Awkward: Cristiano Ronaldo and Lionel Messi were positioned next to one another at the award ceremony
Ballon D'or
Kura za kuchagua mchezaji bora wa dunia zimewekwa hadharani na imejulikana nani alipiga kura kuwachagua Ronaldo, Messi na Ribery. Hakuna kati ya Ronaldo na Messi aliyempigia kura mwenzake, lakini katika kutambua ubora wa Ronaldo mwaka huu, kocha wa Argentina amempigia kura Ronaldo, wakati kocha wa Portugal hakumpa kura Lionel Messi. Steven Gerrard nahodha wa England amempa kura namba moja Ronaldo ikiwa sawa sawa na kocha wake Roy Hodgson wakati kocha wa Ujerumani hakupiga kura kuchagua mchezaji yoyote. 

Ifuatayo ni jinsi kura zilivyopigwa na manahodha na makocha wa timu za taifa kuchagua mchezaji bora wa FIFA mwaka 2013. Ronaldo ameweza kupewa kura ya kwanza na watu watano wakati Messi ana kura mbili za kwanza.  

THE CAPTAINS

Lionel Messi, Argentina
1) Iniesta Andrés
2) Xavi
3) Neymar
Thiago Silva, Brazil
1) Lionel Messi
2) Zlatan Ibrahimovic
3) Cristiano Ronaldo
Steven Gerrard, England
1) Cristiano Ronaldo
2) Lionel Messi
3) Luis Suarez
Hugo Lloris, France
1) Franck Ribéry
2) Manuel Neuer
3) Gareth Bale
Philipp Lahm, Germany 
1) Franck Ribéry
2) Cristiano Ronaldo
3) Lionel Messi 
Gianluigi Buffon, Italy
1) Andrea Pirlo
2) Cristiano Ronaldo
3) Lionel Messi
Robin van Persie, Netherlands
1) Arjen Robben
2) Zlatan Ibrahimovic
3) Cristiano Ronaldo
Cristiano Ronaldo, Portugal
1) Radamel Falcao
2) Gareth Bale
3) Mesut Özil
Iker Casillas, Spain
1) Cristiano Ronaldo
2) Franck Ribéry
3) Arjen Robben
Zlatan Ibrahimovic, Sweden
1) Franck Ribéry
2) Lionel Messi
3) Cristiano Ronaldo

THE COACHES

Alejandro Sabella, Argentina
1) Lionel Messi
2) Franck Ribery
3) Cristiano Ronaldo
Luiz Felipe Scolari, Brazil
1) Cristiano Ronaldo
2) Lionel Messi
3) Zlatan Ibrahimovic
Roy Hodgson, England
1) Cristiano Ronaldo
2) Zlatan Ibrahimovic
3) Robin v
an Persie
Didier Deschamps, France
1) Franck Ribéry
2) Cristiano Ronaldo
3) Zlatan Ibrahimovic
Cesare Prandelli, Italy
1) Andrea Pirlo
2) Philipp Lahm
3) Robert Lewandowski
Louis van Gaal, Netherlands
1) Franck Ribéry
2) Thomas Muller
3) Arjen Robben 
Paulo Bento, Portugal
1) Cristiano Ronaldo
2) Radamel Falcao
3) Arjen Robben
Vicente Del Bosque, Spain
1) Xavi
2) Andrés Iniesta
3) Franck Ribéry 
Erik Hamre, Sweden
1) Zlatan Ibrahimovic
2) Lionel Messi
3) Cristiano Ronaldo
**Please note, no vote was recorded by Germany coach Joachim Low**

No comments:

Post a Comment