Monday, January 13, 2014

Ronaldo mchezaji bora wa FIFA mwaka 2013

Ballon D'or
Ronaldo wins the Ballon d'Or
Ronaldo akifuta machozi mbele ya umati wa watu walikusanyika kwenye tuzo za FIFA. Alichokisema Ronaldo mbele ya umati baada ya kupokea tuzo ya Ballon D'or mwaka 2013.  "Hakuna maneno ninayoweza kutumia kuelezea hisia zangu za sasa. Napenda kuwashukuru watu wangu wote wa karibu walioniewezesha kufikia hapa, Real Madrid, timu yangu ya Taifa (Ureno) na familia yangu. Wale wanaonijua mimi watakubaliana na mimi kuwa watu wengi wameniwezesha kushinda tuzo hii akiwemo pia maneja wangu, Rais wa Madrid, bila kuwasahau Eusebio, mchumba wangu na mtoto wangu". Hii inakuwa ni tuzo ya pili ya CR7 kuichukua baada ya ile ya mwaka 2008.

No 1: Cristiano Ronaldo has won the Ballon d'Or and named the greatest football player in the world
Family time: A tearful Ronaldo was on stage with his son Cristiano to collect the award All smiles: Ronaldo couldn't help but grin broadly when he posed with the trophy
Tuzo ya mwaka 2013 na kulia ni tuzo ya mwaka 2008
All dressed up: Ronaldo with his son Cristiano and girlfriend Irini Shayk Pair: His son was even more excited than him for the prize
Winner: Pele holds up Ronaldo's son Cristiano as the Portuguese star picks up his award
Ronaldo akimpa mtoto wake tuzo aishike 

Glamorous: Ronaldo with his girlfriend Irina Shark during the awards ceremony
Prolific: He scored 34 goals in La Liga alone last year for Real Madrid

Pele alipata tuzo ya mchezaji bora wa karne ya 20. Pele pia alitoa machozi kwa kushinda tuzo hii akisema 'nilikuwa nimeshinda vikombe vyote duniani katika kipindi changu chote nilichocheza mpira, lakini tuzo hii ya mchezaji bora wa FIFA sikuwahi kushinda kwasababu miaka yetu kulikuwa hakuna hii tuzo. Nilikuwa nawatamani sana wachezaji wasasa wanavyoshinda tuzo hii, nilitamani kuwa mimi, lakini leo nimeipata nimefurahi sana na nimekuwa mkamilifu kwa sasa". 
Emotional: The Brazilian couldn't keep back the tears Emotional: The Brazilian couldn't keep back the tears

The best of the best: The FIFA World Team of the Year line up on stage in Zurich
Kikosi bora cha FIFA mwaka 2013 
Manuel Neuer (Bayern Munich); Dani Alves (Barcelona), Thiago Silva (Paris St Germain), Sergio Ramos (Real Madrid), Philipp Lahm (Bayern Munich); Andres Iniesta (Barcelona), Xavi (Barcelona), Franck Ribery (Bayern Munich); Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Zlatan Ibrahimovic (Paris St Germain), Lionel Messi (Barcelona)

Scary attack: Lionel Messi with his award for being in the team aside Zlatan Ibrahimovic and Cristiano Ronaldo
Zlatan Ibrahimovic ashinda tuzo ya goli bora la mwaka, cheki video ya goli. Sweden vs England. 


Trophy time: Former Bayern Munich coach Jupp Heynckes (left) is presented with his award by England manager Roy Hodgson
Jupp Heynckes kocha wa zamani wa Bayern Munich ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwaka 2013

Waiting game: Ronaldo was on stage before the Ballon d'Or as he was named in the team of the year
Katikati ni Mjerumani Nadine Angerer aliyeshinda tuzo ya mchezaji bora wa soka kwa wanawake mwaka 2013 
Recognised: German keeper Nadine Angerer won the women's Player of the Year award
Duo: Ronaldo and Angerer pose side-by-side after being named the best players in the world
A happy couple: Messi showed off a scarlet suit to add to his eclectic wardrobe Looking smart: Ribery at the ceremony with his wife Wahiba Belhami

No comments:

Post a Comment