Monday, February 17, 2014

Giroud kwenye kashfa ya kutoka nje ya ndoa

Grovelling: Arsenal striker Olivier Giroud has taken to twitter to apologise to his wife after he was pictured in a hotel room with a model
Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud amekubali kumdanganya mke wake baada ya kulala na mwanamke mwingine usiku wa tarehe 2 mwezi huu. Giroud amethibitisha haya kupitia akaunti yake ya Twitter akiomba msamaha kwa mke wake, kocha pamoja na wachezaji wenzake. Giroud alifanya kitendo hicho akiwa na mrembo Celia Kay, ambapo alimwalika kwenye hotel ambayo timu ya Arsenal ilikuwa imepiga kambi kabla ya mechi dhidi ya Crystal Palace. Kitendo alichokifanya Giroud kulala na mwanamke mwingine mbali ya mke wake ni kinyume kabisa na sheria za klabu ya Arsenal na tayari kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema mchezaji huyu atachukuliwa hatua za kinidhamu. 

Klabu nyingi barani Ulaya zimekuwa na sheria kali za kuwalinda wachezaji wao ili kuwa na nidhamu nzuri mbele ya jamii na kuitunza vyema miili yao ili waweze kutumikia klabu zao kwa muda mrefu. Sheria hizi zinajumuisha kuwa na mpenzi mmoja au mke, kutovuta sigara, kunywa pombe kwa kiasi, kuendesha gari mwendo wa wastani na kutotumia madawa ya kuongeza nguvu n.k. Kuhusu Giroud haijulikana atapewa adhabu gani, lakini kwa kawaida wachezaji wanapigwa penati na kupewa mashariti magumu ya kuitumikia familia na jamii. 

Tweet za Giroud 
Olivier Giroud tweet
Olivier Giroud tweet

Marriage: Giroud posted this picture of him and his wife Jennifer on Christmas Eve
Giroud akiwa na mke wake 

Late night: Celia Kay pictured Giroud in just his pants, hours before Arsenal were due to meet Crystal Palace
Huyu ni Celia Kay mwanamitindo aliyetoka na Giroud

BgmP97BIgAAAmEU The Sunday Sun publish picture of Arsenal striker Olivier Giroud in his pants
Giroud akiwa na nguo ya ndani siku ya tukio 

No comments:

Post a Comment